
Thursday, November 30, 2023
YATIMA GEREZANI 06

YATIMA NA GEREZA LA KUTISHA 😭😭Sehemu ya 6.Nomani akiwa anazidi kushangaa alishuhudia yule pakaa anakata moto na kufa pale pale, mpaka hapo Nomani hakuelewa imekuwaje paka yule afe kwa taabu vile Mara tu baada ya kula kile chakula."Heeeee!! Nini hiki jamani!!" Nomani alizidi kushangaa, akiwa kule jikoni alipo piga macho juu ya kabati la pale jikoni, aliona kuna pakiti fulani nyeusi ikiwa imechanwa kidogo, Nomani aliisogelea ile pakiti na kuisoma,...
Wednesday, November 29, 2023
KICHAA MPELELEZI 39 TO 40

SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳😭 39&40"Mr Brighton🤔 hivi unadhani kama Clara ana mimba yangu nitakubali akahukumiwe, yani nikubali tu kirahisi mtu ahukumie hali ya kuwa ana kichanga changu tumboni😁 haiwezekani kabisa" alisema Mr. Michael. "Kwa maana hiyo unataka kusemaje🤔?" Nilimuuliza. "Ah mimi naona tu uachane na hizi habari za kumpeleka Clara...
KICHAA MPELELEZI 36 to 38

( 36-38)SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳😭 36.Ilikuwa ni majira ya saa tisa alasiri mimi Clara tulikuwa tumeketi nje ya pango ambao tulijificha kule msituni, tulikuwa tumekaa kimahaba huku Clara akichezea chezea ndevu zangu kwa viganja vyake😀, nikiwa sina hili wala lile ghafla😳 nikashtukia tumezungukwa na mbwa wakubwa kama saba hivi, walianza kubweka...
Tuesday, November 28, 2023
YATIMA GEREZANI 04

YATIMA NA GEREZA LA KUTISHA 😭😭Mtunzi: Mwaki Ze DoneSehemu ya 4.Ile pikipiki baada ya kumgonga Nomani ilipitiliza kwa mwendo wa kasi muno, Nomani alidondoka chini pale pale huku damu nyingi zikiwa zinamvuja kichwani, maana alikuwa kajibamiza vibaya muno chini.Baada ya dakika Kama tano wasamalia wema ndo walimuona Nomani, baada ya hapo ilibidi wamkimbize hospital kwa ajili ya matibabu.Taarifa zile za kugongwa kwa Nomani zilimfikia Mama Samir,...
YATIMA GEREZANI 05

YATIMA NA GEREZA LA KUTISHA 😭😭Mtunzi: Mwaki Ze DoneSehemu ya 5."Nomani sikiliza, huyu mwanamke humu ndani siyo Mama yako mzazi, pia yule Samir siyo mdogo wako wala siyo mtoto wa Baba yako Mr Fekon " Hizo, zilikuwa ni taarifa za kushitua kidogo kwa kijana Nomani ambazo zilifanya kwanza agune ikiwa ni ishara ya kuto kuziamini zile taarifa."Uncle Olenashi kwani we unazungumzia nini mbona sikuelewi!?? Kama yule siyo Mama Yangu, eheee Mama yangu...
YATIMA GEREZANI 03

YATIMA NA GEREZA LA KUTISHA 😭😭Mtunzi: Mwaki Ze DoneSehemu ya 3Nomani akiwa anaangalia madaftari na baadhi ya mitihani ya majaribio ya Samir alishagaa jina ambalo Samir kaandika kwenye zile daftari na ile mitihani."SAMIR FARHAN SAID" Jina kwenye madaftari ya Samir lilisomeka hivyo, kwanza Nomani alimwangalia Samir Mara mbili mbili."Samir haya madaftari si ni yakwako au!??" Nomani alimuuliza Samir."Ndiyo ya kwangu!"Samir akiwa hana hata wasiwasi...
YATIMA GEREZANI 02

YATIMA NA GEREZA LA KUTISHA 😭😭Sehemu ya 2Ila kwa upande wa mlinzi wa getini ambapo naye alikuwepo pale msibani yeye alitikisa kichwa kuonesha ni kweli marehemu kaacha mtoto mmoja, na mlinzi huyo alionekana ana Siri nyingi muno anazo zijua kuhusu familia ile.Basi msoma wasifu wa marehemu alimaliza kwa kuwashukuru watu wote walio fika pale msibani kuwafariji.Muda wa kwenda kuzika ulifika wale wa kwenda kuzika makaburini walienda, wengine walitangulia...
YATIMA GEREZA LA KUTISHA 01

YATIMA NA GEREZA LA KUTISHA 😭😭Sehemu ya 1Kabla hujaanza kuisoma Hadithi hii nakushauri ukae na kitambaa Cha kujifutia machozi pembeni, maana naamini itakusisimua na kukutoa machozi, ni Hadithi inayo husu maisha ya kijana Nomani,ni Zaidi ya mikasa ambayo utakutana nayo kwenye Hadithi hii, hakika Nina imani utaipenda.Mwanzo.Ni Ndani ya Jumba la kifahari alionekana Mama akiwa na furaha huku akiwa anacheza na kucheka na watoto wake wawili ambao...